Saturday, September 20, 2014

MBEGE

Tunafunua ukurasa wa vinywaji nimoja kati ya vinywaji vinavyo pedwa sana na watu wa mkoa wa moshi-wachaga je? na wewe usiye wa moshi ungependa kujua radha ya kinywaji hiki? Dsm Food and Drinks Festivalimeamua kukuletea #FESTIVAL itakayo kupa upanuzi mkubwa wa kujua radha ya vyakula na vinywaji vya asili kutoka Tanzania na Mataifa mengineyo. usikubali kupitwa....<<>> #Coming soon.

No comments:

Post a Comment