Saturday, September 20, 2014
UGALI WA MUHOGO
Ugali wa #Muhogo kutoka musoma wanapenda kuita Udaga. Dsm Food and Drinks Festival utajipatia vyote hivi @2014 .
MBEGE
Tunafunua ukurasa wa vinywaji nimoja kati ya vinywaji vinavyo pedwa sana na watu wa mkoa wa moshi-wachaga je? na wewe usiye wa moshi ungependa kujua radha ya kinywaji hiki? Dsm Food and Drinks Festivalimeamua kukuletea #FESTIVAL itakayo kupa upanuzi mkubwa wa kujua radha ya vyakula na vinywaji vya asili kutoka Tanzania na Mataifa mengineyo. usikubali kupitwa....<<>> #Coming soon.
Thursday, September 18, 2014
UGALI WA MUHOGO
Ugali wa Muhogo kutoka butiyama nimoja kati ya vyakula vitakavyo patikana katika Dsm Food and Drinks Festival @2014.
Tuesday, September 16, 2014
BANANA SKEWERS
Umesha wahi kukutana na mishkaki ya ndizi.....? pata fulsa ya kukutana na vyakula vya asili kutoka makabili na mataifa mbalimbali ndani ya FESTIVAL itakayo kujia hivi karibuni Dsm Food and Drinks Festival
Monday, September 15, 2014
WALI SAMAKI
je wajua kuwa wali samaki ni Chakula cha asili kutoka Morogoro-Mahenge kabila la Wapogoro jionee mengi kutoka Dsm Food and Drinks Festival itakayo kujia hivi karibuni.
FESTIVAL
Haya sasa maandalizi ndio yapo motomoto muda si punde kile kigongo cha FESTIVAL kitakuwa kimekwiva kaa mkao wa Kula, Kunywa na kupeperusha bendera ya chakula chako cha asili kutoka mkoani mwako Dsm Food and Drinks Festival tunakuletea #festival ya vyakula vya kinyumbani nyumbani na vinjwaji vya aina vyote kutoka mikoa yote na baadhi ya mataifa mengine. Usikubali kupitwa.....<<>>
Subscribe to:
Posts (Atom)